Ghasia za Afrika Kusini:Ndani ya wiki ya machafuko na uporaji jijini Durban
29 Julai 2021
Chanzo cha picha, AFP
Wiki mbili baada ya Afrika Kusini kukumbwa na wimbi la ghasia na uporaji - matukio mabaya zaidi ya vurugu tangu ujio wa demokrasia mnamo 1994 - vizuizi vya muda mfupi na majaa ya takataka katika jiji la bandari la Durban vimeondolewa.
Lakini wanajeshi wanaendelea kufanya doria katika vitongoji vilivyoharibiwa na wiki ya machafuko ambayo iliwaacha watu zaidi ya 300 wakiwa wamekufa. Kila kitu kimeenda. Sina bima. Nina wasiwasi juu ya siku zijazo za Afrika Kusini. Nina wasiwasi juu ya maisha ya baadaye ya watoto wangu, alisema mjasiriamali Dawn Shabalala, ambaye maduka yake manne madogo yaliporwa - hadi bomba la maji na nyaya za umeme
UPND CADRES FIGHT IN MANSA AFTER REPORTS THAT OTHERS WERE TO JOIN PF
zambiareports.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from zambiareports.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Cục Hàng không kiến nghị tháo gỡ khó khăn cho các hãng hàng không và hành khách đi máy bay
tuoitre.vn - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from tuoitre.vn Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
เปิดภาพเสือ 5 ชนิด ในป่าตะวันตกพื้นที่กาญจนบุรี
thaipbs.or.th - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from thaipbs.or.th Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
ChildFund Sri Lanka and Vocational Training Authority empower mothers and care-givers in Hambantota with accredited Child Care certification - Adaderana Biz English
bizenglish.adaderana.lk - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bizenglish.adaderana.lk Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.